<strong> LYRICS | Darasa - Hasara Roho | Written By Deejay Celebu DARASSA - HASARA ROHO Kama unataka kiki kwa pikipiki Mara Black Mara White vipi I play no game am sorry rafiki ukija kama upepo utapepea ukijifanaya una mapepo tunakukemea kama unataka mchezo kawashe runinga siku hizi hamna mtu anayetaka ujinga Ujanja wa nyani mjini utaingia kingi meli inaelea feli inazama shillingi haraka na harakati zako za pimbi unatake kucheza wewe na ushike filimbi {CHORUS} Binadamu angekuwa nenja maneno yangeshutigi kama risasi vitu vingine vikienda havirudi rivasi kama samaki hasara ya roho inachopenda tunasemaga pesa makaratasi Hakuna wasi wasi tukaze mwendo ili twende na wakati ehh www.djcelebu.com {verse 2} Dawa iweke tuzo ya wachukiaji Bongo kuna watu wana vipaji unarusha madongo kwenye maji Bora upige michongo utanipa midadi Mara Chenga Maro no network zigi zaga vitu havieleweki life siku hizi imezidi kucomplicate ukichanganya na mambo ya internet Jelaa mwisho utatukana picha ukutani Jela sisi hat…