Search Suggest

Posts

LYRICS:JUA CALI - NAJITOA (OFFICIAL VIDEO) [SKIZA 8543807]

Send 'Skiza 8543807' to 811 (Safaricom)
JUA CALI - NAJITOA
#Najitoa,

Fifth single of the upcoming album 'MALI YA UMMA'
Audio By Benjah Beats (Calif Records)
Directed By Thomeski
Art/Animation By Wambaa Muiru

LYRICS:
Intro : Najitoa *8
VERSE 1
Naenda mahali kuna raha mstarehe
Naenda mahali kila siku ni sherehe
Nitulie nisahau shida za dunia
Nitulie nifanye kitu yoyote najiskia
Hapa nimetupa stress zangu mbali
Ni upendo tu na unaspread kila mahali
Mtu wangu akiwa chini namshikisha
Mtu wangu akilia lia namtuliza
Juzi ilikua noma lakini sai tunaskizana
Mambo ya chuki vita hapan taka
Mahali nimetoka kila kitu bei ya juu
Lakini hapa kila kitu bei nafuu
Uwizi hakuna natembea bila wasiwasi
Keja nayo kila siku mlango wazi
Unangoja nini kuja huku tubambishe
Mtu wangu kuja huku tushikishe..
CHORUS : Najitoa *8
VERSE 2
Mambo ya traffic jam hakuna hapa
Camel ama Donkey ndio gari za hapa
Panda moja nikuonyeshe hii mtaa
Ya kipeke mahali usiku hakuna kulala
Napiga soda yangu baridi nikipepea
Halafu baadaye niingie beach kuogelea
Me niko mteja hakuna network huku
Watu tafash pia hawako huku
Wiki moja mbili zinapita
Ata ukiniuliza me sijui vile ziliisha
Nirudi mtaani hapana!!!
Nirudi mjini hapana!!!
Ukitaka kunipata mwenyewe kuja huku
Mpaka mwaka mpya tunairukia huku
Ma Festivals na fireworks ndio zetu
Tunakula raha unaeza fkiria huku ni kwetu

CHORUS : Najitoa *8
VERSE 3
Usiku ikifika usipende kuona
Hii ndio time mashetani wote wautoka
Warembo wengi nashindwa nichague nani
Nyuki hapa nitawapatia wote asali
Itisha kitu yoyote me nitalipia
Hapa ni holiday kila siku me nakuambia
Ona vile hio sunset mambo mbaya
Strolling ya jioni hapa iko sawa
Hewa ya huku jo ni tofauti
Chakula ya huku inataste tofauti
Makarau nao hawana noma
Ukifanya blunder bigi ni rahisi kujitoa
Watu ni wa pole kila mtu yukona furaha
Mnasalimiana ata ka hamjuani
Kuingia harusi kutoka matanga
Ningeishi hapa lakini narudi mtaani
CHORUS : Najitoa *16 #JuaCali

Post a Comment

Please do not enter any spam link in comment box