ALSO: Download Bahati – Maria Mp3 Audio
paaparaparia, ilikuwa ndo mchezo bara kanisa sunday, paapara parira, tulisali pamoja bara shule ni monday x2 nakumbuka ulipenda chakacha, na mimi nilipenda bongo, ulimsikiza farida , na mimi ni rose muhando x2 ndoto yako ikawa kwenda ng’ambo mmmh nami yangu ikawa kwenye gospel mmmh x2 maria eh oh umebadilika, jana si kama leo ,umebadilika,x2 maria aah paaparaparia, ilikuwa ndo mchezo bara kanisa sunday, paapara parira, tulisali pamoja bara shule ni monday x2 kutoka kenya dar salama , nimekusaka tanzania , kwetu pwani hadi kampala , uganda nikaingia, bila budi unatesa na urembo, mengi pia sigara mateso, bila budi unatesa na urembo, umesahau kuishi malengo, maria eh oh umebadilika, jana si kama leo ,umebadilika,x2 maria aah uh kanisani,uh enda nyumbani, kumbuka mama githeri, yuu yule jirani maria eh oh umebadilika, jana si kama leo ,umebadilika,x2 maria aah kumbuka ndoto zetu ,tukiwa mathare, tukiwa gheto,ah eh eastlando nananah naah eh rudi nyumbani eh kwa yesu nyumbani eh